Sitta: Wabunge viti maalumu hawana umuhimu wowote
“Wapo baadhi ya wabunge, hawajawahi hata siku moja kwenda kwenye majimbo yao kuwatembelea wananchi waliowachagua... Inawezekana hata wapiga kura wakawa wamewasahau. Hawa hawafai hata kuchaguliwa wakiomba tena kura.” Spika wa Bunge wa zamani, Samuel Sitta
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi (peter maridadi)


No comments:
Post a Comment